Siku moja tu baada ya kuichapa AS Roma ya Italia kwa mabao 7-1 kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kikosi cha Bayern Munich kimetua nyumbani kwa Papa Francis na kumpa “hi”.
Kikosi hicho kikiongozwa na
benchi la ufundi paoja na nahodha Phillip Lahm, kilikabidhi jezi ya Bayern
iliyosainiwa pamoja na mpira.
Wakali hao walitembelea
Vatican na kupokelewa kwa shangwe na Papa.
CHEKI MWENYEWE…..
0 COMMENTS:
Post a Comment