CHELSEA WAKISHEREKEA BAADA YA USHINDI WA MABAO 6-0, ALIYEZUNGUSHIWA DUARA NI MTOTO WA DIDIER DROGBA AMBAYE ALIALIKWA NA BABA YAKE KUJUMUIKA NA NYOTA HAO. DROGBA ALIFUNGA BAO LAKE LA KWANZA KWENYE MASHINDANO BAADA YA KUREJEA CHELSEA...LILIKUWA BAO LA MKWAJU WA PENALTI.
0 COMMENTS:
Post a Comment