October 22, 2014

BEKI KELVIN YONDANI (JUU) AKIRUKA KAMA MWEWE KUTAKA KUMDHIBITI EMMANUEL OKWI WA SIMBA WAKATI TIMU HIZO ZILIPOKUTANA KWENYE MECHI YA LIGI BARA, JUMAMOSI ILIYOPITA NA KUMALIZA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA.

NAHODHA WA SIMBA, JOSEPH OWINO AKIONDOSHA HATARI MBELE YA MSHAMBULIAJI WA YANGA, JAJA, HUKU KIPA WA SIMBA, PETER MANYIKA AKIANGALIA KWA UMAKINI A HALI YA JUU.

KIPA WA YANGA, DEO MUNISH 'DIDA' AKIPAA JUU KUOKOA HATARI MBELE YA OKWI WA SIMBA. KUSHOTO NI BEKI WAKE, YONDANI AKIWA TAYARI KUTOA MSAADA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic