PETER MANYIKA AANZA LANGONI SIMBA VS YANGA KIPA PETER MANYIKA (KULIA), MTOTO WA KIPA WA ZAMANI WA YANGA, MANYIKA PETER. NDIYE YUKO LANGONI LEO WAKATI SIMBA INAPAMBANA NA YANGA LEO KWENYE UWANJA WA TAIFA. IVO MAPUNDA YUKO BENCHI NA CASILLAS NI MAJERUHI.
0 COMMENTS:
Post a Comment