MCHEZO wa kirafiki kati ya Yanga na Kariobangi Sharks umekamilika ngoma droo.
Kariobangi Sharks walitangulia kufunga bao dakika ya 48 kupitia kwa Patrick Otieno na Yanga kupitia kwa Patrick Sibomana dakika ya 57 wakasawazisha bao kwa mkwaju wa penalti.
Ushindani ulikuwa mkali kwa kila timu kutafuta matokeo, Yanga wametengeneza nafasi nyingi kupitia kwa Patrick Sibomana ambaye amekuwa ni moto wa kuotea mbali kipindi cha kwanza.
Mashabiki ni kama wote uwanja wa Taifa leo kwenye kilele cha Mwanachi.
Vip kuhusu taifa stars toa up-to-date
ReplyDeleteWamebebwa haooo! Bahati yao
ReplyDeletePenalti ya uongo tu.Kubebwa huko.Walicheza ns vitimu vya ovyo Morogoro kelele zikawa nyingi. Ukweli umeanza kuonekana na bado.Visingizio vitaanza.
ReplyDeleteTumecheza na mbabbe wa everton vipi nyie mikia mtatoka kwa timu ya wananchi ya power dynamo.
DeleteMbabe wenu pia.Aliwachabanga kwenye Sports Pesa 3-2.Leo mmeiga droo kwa kubebwa kwa penalti feki.
ReplyDeleteNi timu iliyomaliza ya nane msimu wa 2018/2019!Penalty hazina uhakika...Evarton ilifungwa kwa penalty!
ReplyDeleteKweli ukimchukia mtu unamchukia tu hata afanye zuri utageuza ukweli na kuendelea kuponda. Hivi mmeiona hii yanga imafanana na yanga ile iliyopita ya kukata pumzi dakika ya 20 tu?
ReplyDeleteTuchekeni lakini la muhimu tumepata hela ya mishara mastaa ya mwezi huu
ReplyDeleteSasa kama mlikuwa mnakata pumzi dakika ya 20 mlikuwa mnalalamika nini?TIMU yenu msimu uliopita Ina nafuu.Ngoja ligi ianze mtajua ukweli. Mtawakumbuka Makambo na Ajibu.
ReplyDeleteLeo mlikata pumzi dakika 45 za kwanza.Timu bado sana. Mkicheza na timu nzuri mtafungwa nyingi.Timu haichezi kitimu kabisa.
ReplyDeletePovu litawatoka sana nyie mikia mnaojiona mmefika kileleni pambaneni na hali zenu mambo ya yanga tuachieni wanainchi nyie endeleeni kudekezwa tu
ReplyDeleteWalikuwa hoi kipindi chapili wakiombea duwa Mpira umalizike pale walipokuwa wakianguka bila ya sababuj
ReplyDelete