Campbell ametangaza kuiuza
nyumba yake iliyo Chelsea London kwa kitita cha pauni milioni 25.
Campbell aliyeichezea pia Tottenham
Hotspur akiwa beki ngangari wa kati ameamua kuiuza nyumba hiyo ingawa
haijajulikana kama ‘amelosti’ au vipi!
Pia imeelezwa mtu anaweza
kulipangisha jumba hilo kwa pauni 15,000 kwa wiki, likiwa ni punguzo baada ya
kuwa pauni 75,000 kwa wiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment