Fedha zinakwenda kwa mwenye
fedha, bondia Floyd Mayweather ameshinda zaidi ya dola milioni 1.4 baada ya
kucheza kamari.
Mayweather alifanya kufuru
dakika chache baada ya kushinda kwa kuwarushia watu.
Alifanya hivyo kwa
kuwarushia watu ambao walilazimika kupambana kuzigombea.
Bondia huyo milionea ndiye
mwanamichezo anayelipwa aidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment