Mabeki wawili wa Yanga
wanaounda ukuta wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro na Kelvin Yondani, wameanza
mazoezi.
Wawili hao waliokuwa
majeruhi wameanza mazoezi ya taratibu leo saa 10 jioni.
Yanga iajifua kwenye Uwanja
wa Maveterani wa Boko jijini Dar es Saalam.
Kuumia kwa Cannavaro na Yondani, kulizua hofu miongoni kwa
Wanayanga kwa kuwa Jumamosi wanakutana na watani wao Yanga.
Lakini imekuwa ni faraja
kubwa kwa mashabiki wao, hasa wale ambao wamewashuhudia Yanga wakifanya mazoezi
sasa hivi.
0 COMMENTS:
Post a Comment