Yanga imeendelea na mazoezi
leo kwenye Uwanja wa maveterani wa Boko kujiandaa na mechi dhidi ya watani
wake, Simba.
Yanga imefanya mazoezi mara
mbili, asubuhi na jioni.
Kawaida imekuwa ikifanya
mazoezi mara mbili kwa siku kama ilivyoendelea leo.
Wachezaji wa Yanga
walionekana kuwa na furaha na kabla ya kuanza mazungumza walifanya mazungumza
na Kocha wao, Marcio Maximo.
Baada ya hapo wakaanza
mazoezi mepesi kabla ya kuendelea na ratiba nyingine.
Mechi hiyo dhidi ya watani
wao inasubiriwa kwa hamu.








0 COMMENTS:
Post a Comment