Dereva Rainer Zietlof raia
wa Ujerumani akiwa na timu yake ya VW Touareg Cape to Cape Challenge wamewasili
jijini Dar es Salaam na kufanyiwa hafla ya mapokezi ya mapokezi na kampuni ya
Alliance Autos kwenye makao makuu yake Barabara ya Nyerere jijini.
Mjeremani huyo amesema
safari yake hiyo alianzia nchini Norway na kupitia nchini kadhaa ikiwemo jijini
la Cape Town nchini Afrika Kusini. Dereva huyo wa Kijerumani amesema amezunguuka
nchini mbalimbali akipita katika mazingira magumu lakini gari alilokuwa
akitumia aina ya Volkswagen Touareg V6 TDI ilionesha ustadi mkubwa wa kuzimudu
vurugu zote za barabara ambazo zingine hazipoitiki kirahisi.
1.Dereva Rainer Zietlof
akiongeza na wanahabari (hawapo pichani)
2.Wanjahabari wakichukua
habari.
3.Wanahabari wakiendelea
kumsikiliza dereva huyo.
4.Akionesha sehemu ya
injini ya gari alilotumia.
5.Sehemu ya gari hilo
likiwa na vifaa vya mawasiliano.
6.Akonesha matairi ya
akiba.
7.Akiwa kwenye picha ya
pamoja na wanahabari.
0 COMMENTS:
Post a Comment