Simba imemtambulisha Morriosn ambaye alikuwa na mvutano mkubwa ndani ya Yanga kuhusu masuala ya mkataba ambapoYanga walikuwa wanasema kuwa ana dili la miaka miwili huku Morrison akisema kuwa mchezaji alikuwa na miezi sita.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema hivi:"Kesi ya kimkataba inauhisiano gani na Morrison kusajiliwa, mchezaji kafika tarehhe 17 wao wanasema wamemsajili tarehe 15 inaoneshwa kwamba mkataba wa kwanza umesajiliwa tarehe 15, Yanga wamemuingiza kwenye mkataba tarehe 15 sasa kwahiyo hapo wajadili suala la mkataba wa kwanza.
"Waache kutuchezea mambo ya ajabu, tarehe 15 dirisha dogo la usajili lilifungwa, Morrison alitua nchini tarehe 17 sasa hapo anzeni pale, kuna mkataba ambao umesainiwa kwenye page nne sasa mkataba wa Morriosn una page moja kwa nini?
"Kamati ya hadhi ya wachezaji haiwezi kufanya mambo ya ajabuajabu, cha kwanza kiangaliwe mkataba wa kwanza kama ni halali ama sio halali, hivyo amecheza mechi za Singida na Tanzania Prisons akiwa hana mkataba, mkataba wake unaonyesha kwamba amesajiliwa kabla ya muda," amesema.
Chanzo:Wasafi FM
Kwa maana hiyo Haji Manara anawashtaki TFF kwa kutokuwa makini katika utendaji wao maana wao ndo walimruhusu Morrison kucheza,kama TFF walibariki uvunjaji huo wa kanuni watashindwa vipi kuvunja kanuni katika kesi iliyopo mezani ilimradi kubariki wanachokitaka
ReplyDeleteKwani mtu hawezi kucheza kwa kujitolea ?au sheria hairuhusu mkataba unakuja pale mtu anapohitaji kulipwa mfano tareehe ya mkataba ulianza lini siyo issue Manara apimwe akili
ReplyDeleteNa kwa nini Manara anakuwa kama anamiliki vyombo vya habari ,anasikilizwa utadhani yeye nani lkn ukweli ni kwamba hata hii Blog mmiliki Simba Lia Lia ,ombi langu kwa viongoZi wa Yanga Kama mnajua mna haki kwenye issue ya BM kaeni kimya mpaka uamuzi utoke cse hawa wanataka kuwatoa njiani msijibu tuachie sisi to deal na Mikia Fc
ReplyDeleteSahihi kama wako kwenye haki Bora kukaa kimya na ikishindikana wapeleke suala lao CAF au FIFA MAANA TFF nao ndio walewale
DeleteHao Caf haya tu
ReplyDeleteNdiyo dawa yenu Viongozi wetu mkae kimya hili tuone Maana ya TFF na hizi media cse Manara amekuwa over kila mtu jamaa anasikilizwa utadhani Rais wa Tanzania
ReplyDeletehahahahahahahahahahaha
DeleteKama Manara mnaona anasikilizwa saana basi hata huyu si mmsajili ili awasemee msikike zaidi? Utopolo baana tayari mshaanza kuingiza upepo kwa point hizi chache tu za Manara
ReplyDeleteYeyote anayemsikiliza Manara lazima na akili Kama zake,hata Wodi ya Vichaaa ukichunguza ma Dr wanaongia wanafanana nao
DeleteKuna Timu Kariakoo inaitwa Mafia Moab huyo jamaa mala ya kwanza namwona alisimama kama Kocha (league daraja la 3 Ilala) walimsurubu refa yeye akiongoza sasa mtajaza Mikia Fc
ReplyDeleteManara amekuwa mfanyakazi wa tff? Kwa kweli tff wanavujisha Mambo ya yanga
ReplyDeleteManara nadhan anamapunguf kwenye fikra zake. Yaani yeye anaifundisha TFF kuhusu kesi za wachezaji na klabu zao?
ReplyDeleteYaani yule kocha wenu akukosea kabisa alivyosema sema akili zenu kama manyani yani mmefanana nao hadi mnavyofikiria hatari sana
ReplyDeleteUtopolo fc kumbukeni mwisho wa usajili ili kuwa tarehe ngapi na morissoni alikuja Tanzania tarehe ngapi then mtapata majibu mazuri tu 😂😂😂
ReplyDeleteHivi dirisha la usajili likishafungwa na FIFA:
ReplyDelete1 Yanga wanaweza kulifungua?
2.Je Haji na TFF wanataka kutuambia Morrison alicheza Yanga bila Mkataba kwa muda wote?
3. Bodo ya Ligi na TFF walitoaji Leseni ya uchezaji kwa Morrison?
4.Kama Morrison alikuwa hana Leseni/Kitambulusho, Kamisaa na waamuzi walimruhusu vipi kucheza Singida na Dar?
Masuala haya ya msingi yanafungua mlango wa jela kwa watu kadhaa.
Unawapa hayo maelezo yote kwa lipi hao mazuzu tu always matapeli ,mtu anaongea utafikiri Hana kazi nyingine zaidi ya Mikia fc
DeleteKuwaelimisha Monkey(Nyani)kazi ngumu kweli mi nafikiri simba tungetulia tuwaache wapige kelele halafu baada ya miezi watakuja kwenye ukurasa huhu huhu mara sijui hawamtaki nani mara sijui nani mamluki wa simba sasa hv wacha wafurahie kuja kwa huyo Senzo
DeleteManara lazima asikilizwe make yuko Kwenye group la walemavu ndo maana anapewa nafasi sana, naomba TTF na mikia fc wote wapelekwe CAF au FIFA.
ReplyDeleteAta wewe hapo ulipo ni mlemavu mtarajiwa huwezi jua leo au kesho hata watoto wako utakaowazaaa kama utani huwezi ni bora ungekaa kimya kuliko kumuataki mtu personally tena ambaye hajakuatack inavyoonesha Washabiki wa Yanga mna hasira sana punguzeni hasira Senzo kashakuja yanga sasa Hasira za nini?
DeleteI like your comment bro.Umenena vema Sana.
DeleteNinashindwa kuelewa kwann simba wamsajili mchezaji mwenye mkataba na timu nyingin? Au,
ReplyDeleteKwann yanga watuaminishe kuwa Morison ana mkataba wakati hana mkataba?
Kwa point kuwa mkataba wa awali ulikuwa haramu hivyo na wa sasa ni haramu. Kwann I we hivyo.
Nasubiri kuona maana pamoja na ushabiki wangu kwa yanga bado sitawaelewa yanga kama walitudanganya
Nice thought bro
ReplyDelete