November 8, 2014


Mechi ya Ligi Kuu England kati ya wenyeji Liverpoon na wageni Chelsea sasa ni mapumziko na matokeo ni 1-1.



Liverpool walianza kupata bao kupitia Emre Can kwa shuti kali katika dakika ya 9 likiwa ni bao la haraka au mapema zaidi kwa msimu huu kwa Liverpool.

Chelsea wakasawazisha katika dakika ya 14 mfungaji akiwa Gary Cahill.
Liverpool ndiyo wamemiliki mpira zaidi, lakini Chelsea wamefanya mashambulizi mengi zaidi na mchezaji pekee aliyepewa kadi ya njano ni Rahim Sterling baada ya kumfanyia madhambi Ramirez.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic