KOCHA MSAIDIZI WA YANGA, LEONARDO LEIVA AKIWA JUKWAANI AKISHUHUDIA MECHI KATI YA YANGA DHIDI YA MGAMBO. LEIVA ALITOLEWA UWANJANI KATIKA MECHI DHIDI YA KAGERA SUGAR MJINI BUKOBA. HIVYO LEO KWENYE UWANJA WA TAIFA, ALILAZIMIKA KUBAKI JUKWAANI AKIENDELEA KUANDIKA MAMBO KADHAA WAKATI KIKOSI CHAKE KIKIPAMBANA. |
0 COMMENTS:
Post a Comment