Msemaji
wa Ruvu Shooting, Masau Bwire atakuwa wa kwanza kumsaidia Kocha Patrick
Phiri kubeba mageni yake leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
“Nilishasema
tokea awali, mzee wetu Phiri abebe mabegi yake kabisa awe nayo Taifa pale.
Nitamsaidia kuyabeba, nikifita Taifa nitaangalia yalipo ili nimsaidie,” alisema
Masau ambaye ni kati ya wasemaji wachache wanaokubalika sana na wadau wa soka
nchini.
Tayari
Masau ameishamtaka Phiri aende na mabegi yake ili akitoka ende zake Uwanja wa
Ndege kwa safari ya kwao Zambia.
Hata hivyo, tayari Simba wameishakanusha kwamba walimpa kocha huyo mechi mbili.
Hata hivyo, tayari Simba wameishakanusha kwamba walimpa kocha huyo mechi mbili.
0 COMMENTS:
Post a Comment