Baada ya kuyumba kwa muda, Ndanda FC
imeibuka huku ikiitwanga Azam FC kwa mbao 1-0.
Jacob Masawe ndiye amekuwa shujaa kwa
kufunga bao pekee katika dakika 15 na kuibua shangwe kwenye Uwanja wa Nangwanda
Sijaona, Mtwara.
Azam FC imeteleza mara ya pili baada ya kuwa
imefungwa na JKT Ruvu kwao Azam Complex, Chamazi.
0 COMMENTS:
Post a Comment