NEWCASTLE SASA KIWEMBE, YAITUNGUA LIVERPOOL 1-0 Newscastle imeendelea kuonyesha sasa imerejea baada ya kushinda kwa mara nyingine. Leo imeichapa Liverpool kwa bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu England, bao hilo lilifungwa na Ayoze katika dakika ya 74.
0 COMMENTS:
Post a Comment