December 5, 2014


Simba imemaliza mechi yake ya kirafiki dhidi ya Express ya Uganda kwa sare ya bila kufungana.

Mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, leo ilikuwa ya kuvutia huku kila upande ukishambulia kwa nguvu.

Pamoja na juhudi za Simba kutaka kushinda lakini Waganda hao walionekana kucheza soka la kujiamini na walikuwa watulivu zaidi.


Kila upande utajilaumu kwa kupoteza nafasi ya kupata mabao ya ushindi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic