Kiungo Sami Khedira amezikata maini timu zilizokuwa zinamuwania.
Moja ya timu zilizokuwa zinamuwania Khedira ni Arsenal ambayo inataka kuimarisha katika kiungo cha ulinzi.
Khedira ameliambia gazeti moja la Ujerumani kwamba angependa kubaki Madrid angalau hadi mwisho wa mkataba wake.
Mkataba wa kiungo huyo Mjerumani mwenye asili ya Uturuki unatarajia kwisha mwishoni mwa msimu huu.
0 COMMENTS:
Post a Comment