Kocha Mkuu wa
Taifa Stars, Mart Nooij anatarajia kutaja kikosi cha Maboresho kitakachoingia
kambini Januari 18 mwaka huu kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda
itakayofanyika Januari 22 mwaka huu jijini Mwanza.
Nooij atataja
kikosi hicho kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho (Januari
15 mwaka huu) saa 5 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume.







0 COMMENTS:
Post a Comment