Beki wa kulia wa Man United, Rafael anarejea
mazoezini na kikosi chake cha Manchester United baada ya kufanyiwa upasuaji.
Beki huyo raia wa Brazil, amefanyiwa
upasuaji wa mvupa wake wa shavu uliokuwa na maatizo.
Alipata tatizo hilo wakati United ikiivaa
Yeovil katika michuano ya Kombe la FA na kushinda kwa mabao 2-0.








0 COMMENTS:
Post a Comment