Cristiano Ronaldo ndiye mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Ulaya na Duniani kote maarufu kama Ballon d'Or.
Ronaldo
,29, ametwaa tuzo hiyo kwa kuwabwaga mpinzani wake mkubwa Lionel Messi na kipa
Manuel Neuer wa Bayern Munich.
Raia
huyo wa Ureno ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya pili mfululizo lakini ni mara yake
ya tatu kwa kuwa mara ya kwanza aliibeba 2008 akiwa na Manchester United.
Mwaka
jana, Ronaldo akiwa na Real Madrid aliiwezesha kutwaa ubingwa wa Ulaya, Copa
del Rey, Uefa Super Cup, pia ubingwa dunia huku yeye akifunga mabao 56 katika
mechi 51.
![]() |
| AKIGONGA SELFIE NA MATA... |
![]() |
| BABU BLATTER AKIMKABIDHI MZIGO... |












0 COMMENTS:
Post a Comment