Mshambuliaji
mpya wa Atletico Madrid amesema ana nafasi ya kurudi upya na kung’ara akiwa na
timu yake hiyo ya nyumbani.
Tayari
amerejea Atletico na kutambulishwa kwa mashabiki ambao wamempokea kwa wingi.
“Nitarudi
kwa kuwa niko nyumbani tena, najiona kama ndiyo naanza.
“Nina
uhakika mambo yataenda vizuri na nitaweza kucheza katika kiwango kizuri zaidi,”
alisema.
Torres
amerejea Madrid akitokea AC Milan ambayo imemnunua kutoka Chelsea.
Alifanya
vizuri Liverpool akiwa na Liverpool, lakini baadaye akaanza kudorora baada ya
kutua Chelsea.









0 COMMENTS:
Post a Comment