January 6, 2015


Kocha Joseph Omog, amemrudisha Frank Domayo katika kikosi cha kwanza ikiwa ni baada ya kukaa nje kwa muda mrefu.


Kwa Mujibu wa Azam FC, Domayo amepewa nafasi ya kuanza katika 11 wa kwanza katika kikosi cha Azam FC leo wakati watakapokuwa wakiivaa Mtende Rangers katika mechi ya mwisho ya makundi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi.

Domayo maarufu kama ‘Chumvi’ alijiunga na Azam FC akitokea Yanga. Lakini hakupata muda wa kucheza kutokana na kuandamwa na majeraha. Hali iliyosababisha Azam FC kumsafirisha nchini Afrika Kusini kwa matibabu.

Kikosi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Mtende Rangers, hiki hapa;

1. AISHI MANULA 
2. ERASTO NYONI 
3. GADIEL MICHAEL 
4. AGGREY MORIS 
5. PASCAL WAWA 
6. MUDATHIR YAHYA 
7. HIMIDI MAO 
8. FRANK DOMAYO 
9. JOHN BOCCO 
10. KELVIN FRIDAY 
11. BRIAN MAJWEGA


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic