Mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor
ametupia picha akiwa katika muonekano mpya akiwa amelenga kuwaonyesha mashabiki
wake.
Adebayor raia wa Togo mwenye asili ya
Nigeria amewaonyesha mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram.
Anaonekana akiwa ameachia ndevu zake kwa
mtindo ule wa “O”, halafu safari amesuka baada ya kuuacha ule mtindo wa O.








0 COMMENTS:
Post a Comment