KANE (ALIYEZUNGUSHIWA DUARA) WAKATI AKIICHEZEA TIMU YA WATOTO YA ARSENAL. |
Unaweza ukashangaa lakini ndiyo maisha,
kumbe yule mshambuliaji aliyeiua Arsenal wikiendi iliyopita kwa kupiga bao
mbili, alipata mafunzo ya soka akiwa Arsenal.
Harry Kane wa Tottenham ambaye aliiongoza
timu yake kuimaliza Arsenal katika ushindi wa mabao 2-1, akiwa na miaka nane
hadi kumi alikuwa akikipiga Arsenal.
KANE (WA KWANZA KUSHOTO WALIOSIMAMA) AKIWA NA KIKOSI CHA ARSENAL. |
Mwenye Kane amesema ana mapenzi ya dhati na Spurs na amesema kweli alijifunza mengi akiwa Arsenal.
0 COMMENTS:
Post a Comment