February 6, 2015


Moja ya mashabiki maarufu wa soka nchini ni Ally Yanga, anajulikana kwa kupaka masizi au rangi za Yanga lakini anajulikana pia kwa kupaka rangi za timu yake Yanga.


Pia Ally Yanga ni mtukutu kwelikweli, kila mara anagombana na askari Polisi. Lakini hajajazia hehee..
ALLY YANGA (MWENYE MIWANI NA KOFIA) AKIWA NA MASHABIKI WENGINE WA YANGA

Sasa ana kazi ya kujibu mashabiki hawa wawili wa Ghana kama walivyoonekana jana wakati timu yao ikifuzu kucheza fainali ya Afcon.

Aliye chini amejipamba vilivyo kama aliye juu, lakini wa juu amejaza ile mbaya. Maana yake Ally Yanga anaweza 'akapiga chuma' ili aweze kupambana vizuri, maana kila siku askari wanamdunda tu...hehehe.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic