|
Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Kassim Dewji, amekutana na kipa wa zamani wa Simba, Hassan Mlapakolo.
Mlapakolo ni kati ya makipa wenye rekodi za juu kabisa na aliidakia Simba kwa mafanikio makubwa mwanzoni mwa miaka ya 1970.
Dewji na mkongwe huyo walikutana mjini Morogoro juzi baada ya kuingoza Simba kushinda kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment