MPIRA UMEKWISHA:
Dk 90+2 Mastara anapiga shuti kali lakini linatoka juu ya lango la Yanga.
Dk 90+1 krosi safi ya Niyonzima, lakini mabeki BDF wanaokoa.
Dk 84 hadi 88, mpira zaidi unachezwa katikati na Yanga wanaonekana kama kuridhika na bao 2!
Dk 83, Yanga inamtoa Tambwe na nafasi yake inachukuliwa na Jerry Tegete
Dk 75, BDF wanamtoa Vicent Nzombe na kumuingiza Kumbulani Madziba.
Dk 74, Ngassa anapiga shuti safi lakini kipa anaokoa kwa kuutema, mabeki wanaondosha.
Dk 73, Mastara anapiga shuti linapanguliwa na kipa Berthez. Hilo ndilo shuti la tatu la BDF linalenga lango katika mechi hii.
Dk 71 Yanga inamtoa Coutinho kutoka Brazil na na nafasi yake inashukuliwa na Kpah Sherman raia wa Liberia.
Dk 67 kona safi ya Coutinho, lakini kipa anaokoa na kuwa kona nyingne ambayo haina manufaa.
Dk 65, Cannavaro anapiga kichwa safi akuunganisha mpira wa kona lakini unatoka juu ya lando la Waswana.
Dk 64, Niyonzima anapiga faulo safi kabisa, lakini kipa anaonyesha ujuzi na kusababisha kona.
Dk 57 hadi 63, Yanga zaidi wanashambulia lakini mpira unachezwa katikati
GOOOOOOOOOO Dk 56, Amissi Tambwe tena anafunga kwa kichwa akiwa hatua tatu kutoka lango la BDF baada ya krosi safi ya Ngassa aliyawachanganya mabeki BDF.
Dk 55, Kabelo Seakayeng anakosa bao la wazi baada ya mabeki wa Yanga kujichanganya.
Dk 49, BDF wanapata pasi nzuri kabisa lakini shuti la Mogomotsi linadakwa na kipa Barthez.
Dk 46, Yanga wanafanya shambulizi kali, Msuva anaupata mpira ndani ya boksi baada ya beki kuanguka lakini anafanya haraka na mabeki wa BDF wanaokoa.
MAPUNZIKO:
Dk 45+1 kipa wa BDF anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira mrefu wa Niyonzima ambao alikuwa anauwahi MSuva.
Dk 45 kadi ya pili ya njano inatoka, mwamuzi anampa Yondani baada ya kufanya madhambi.
Dk 40 Keleagetse Mogomotsi analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ngassa. Hii ni kadi ya kwanza katika mechi hii.
Dk 37, Cannavaro anafanikiwa kuokoa krosi safi ya BDf na kuwa kona, inaokolewa.
Dk 35 Yanga wanafanya kosa kubwa na mpira unamfikia Master Mastara lakini anashindwa kufunga na Yondani anafanya kazi ya ziada.
Dk 32, Tambwe anaruka na mabeki wawili, mpira unamkuta Ngassa akiwa peke yake na kipa ameanguka lakini anapaisha juuuuuuu.
Dk 28, Yanga wanafanya kosa, Twite anamvuta mshambuliaji wa BDF kwenye eneo la hatari lakini bahati 'nzuri' mwamuzi anashindwa kung'amua.
Dk 24, Tambwe anapoteza nafasi nyingine nzuri akiwa karibu kabisa na lango. Angeweza kumpa Ngassa aliyekuwa karibu yake.
Dk 19, kipa Takudzwa Ndoro anakaa chini kwa makusudi, akionyesha wazi amelenga kupunguza presha kubwa ya mashambulizi kwa kuwa wameshambuliwa mfululizo. (Anatibiwa na madaktari Watanzania).
Dk 18, BDF wanafanya shambulizi la kwanza, Pelontile Lerole anapiga shuti lakini linapita juu ya lango la Yanga.
Dk 13, Tambwe anapata pasi nyingine baada ya pasi nzuri ya Coutinho lakini anashindwa kulenga lango la BDF
Dk 11, pasi nzuri ya Msuva, Tambwe anaruka juu na kuukosa mpira
Dk 4&10 BDF wanaonekana kulinda zaidi, watu 10 nyuma ya mpira, hali inayoonyesha wamenuia kupata sare.
Dk 4, Msuva anaingia vizuri katika eneo la hatari, lakini anapaisha.
Dk 3, BDF wanapata kona lakini inapigwa na kuwa goal kick
GOOOOOOOO Dk ya 1, Tambwe anafunga bao zuri kwa kichwa baada ya kuruka juu na kuuwahi mpira wa kona katikati ya mabeki wa BDF.

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO, HIKI HAPA;
Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Oscar Joshua,
Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Salum Telela, Simon Msuva, Haruna Niyonzima,
Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa na Coutinho.

0 COMMENTS:
Post a Comment