February 14, 2015



Kocha Hans van der Pluijm ameamua kuanza na kikosi cha washambuliaji wenye kasi zaidi katika mechi yake ya Kombe la Shirikisho dhidi ya BDF XI ya Botswana.

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka Liberia, Kpah Sherman, anaanzia kwenye 'ubao'.
Kikosi hiki hapa:

Ally Mustapha, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Salum Telela, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa na Coutinho.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic