February 11, 2015

Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli sasa ni mwenye furaha ya kutosha baada ya kufunga bao ikiwa ameitumikia Liverpool kwa siku 170 bila kufunga bao.



Balotelli amtupia picha kwenye mtandao wa Instagram akionyesha ni mwenye furaha kubwa.

Muitaliano huyo alifunga bao katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham na Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic