HII YA SAKHO NDIYO ILIKUWA KALI YA JANA..... BEKI MAMADOU SAKHO WA LIVERPOOL, JANA ALITOA KALI WAKATI ALIPOMRUKIA KIUNGO MOUSSA DEMBELE WA SPURS KATIKA MECHI YA LIGI KUU ENGLAND.SAKHO ALIRUKA KWA ULE MFUMO KAMA WA MCHEZO WA RUGBY IKIWA NI BAADA YA DEMBELE KUMTOA. ANGALIA MWENYEWE.
0 COMMENTS:
Post a Comment