Kocha Goran Kopunovic ameonyesha kuwa kweli yeye ni mtu wa vitendo katika mambo yake katika mazoezi ya timu hiyo mjini Tanga, leo.
Mazoezi hayo yalifanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Popatlal na Kopunovic aliyekuwa mshambuliaji hatari wakati akicheza, alionyesha uwezo mkubwa wa kutoa pasi, kumiliki mpira na hata kupiga mashuti.







0 COMMENTS:
Post a Comment