Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Uwanja wa Shule ya Popatlal mjini kushuhudia mazoezi ya timu yao, wengi walikuwa wanatumia usafiri wa baiskeli.
Kwa jiji la Dar, ni nadra kuona wengi wakitumia pikipiki maarufu kama bodaboda.
Simba iko mjini Tanga ikisubiri mechi yake ya kesho dhidi ya Coastal Union.

0 COMMENTS:
Post a Comment