Mrembo aliyekuwa akifanya
mazoezi kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), alichangamsha
mazoezi ya kikosi cha Simba kilichokuwa kikijifua.
Simba chini ya Kocha Mkuu Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selemani Matola walikuwa wakijifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
Simba chini ya Kocha Mkuu Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selemani Matola walikuwa wakijifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
Mrembo huyo aliyekuwa akizunguka
uwanja huo kujiweka fiti alionyesha ‘kuwachangamsha’ wachezaji wa Simba ambao
muda mwingi walionekana ‘kuzunguka’ naye.
Wachezaji hao walilazimika
kumuangalia kila alipokuwa akizunguka huku wengine wakitumia ujuzi wa hali ya
juu kumuangalia bila ya kujulikana kama walikuwa wakimuangalia.

0 COMMENTS:
Post a Comment