March 24, 2015



 Mazoezi aliyokuwa akipewa kipa Peter Manyika, yalikuwa kivutio zaidi kwa mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wakati Simba ilipokuwa ikifanya mazoezi.


Mazoezi aliyokuwa akipewa Manyika, hasa kunyooshwa na kukunjwa miguu yake huku yeye akijipinda kama samaki iliwavutia mashabiki na wengi kuachana na kila kitu na kuanza kufuatilia.

Kipa huyo alionyesha ana mwili ulionyumbulika kimazoezi na angeweza kujinyoosha kwa aina zote alizokuwa akitaka.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic