March 4, 2015


Kikosi cha Prisons kimetangaza kumtimua kazi kocha wke, David Mwamwaja.

Nafasi ya Mwamwaja itachukuliwa na Mbwana Makata kuhakikisha anaikoa kuporomoka hadi daraja la kwanza.

Mwamwajaa metimuliwa huku Prisons ikiwa inapambana kujiokoa kuporomoka hadi daraja la kwanza.


Makata anapewa kikosi hicho cha Mbeya kikiwa katika nafasi ya 14 katika timu 14 zinazoshirikki Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic