March 24, 2015



Kiungo nyota wa Orlando ya Marekani, Kaka amesema viungo Mesut Ozil na Oscar wa Chelsea wamekuwa wakimshawishi kwenda England.

Kaka amesema ushawishi wao wakati umvutie, lakini wakati mwingine anavutiwa kwenda.
Lakini anasisitiza kwamba ana furaha alipo Marekani na ataendelea kubaki hapo alipo.

Kaka amewahi kucheza kwa mafanikio makubwa katika Serie A akiwa na kikosi AC Milan na baadaye La Liga akiwa na Madrid ambako hata hivyo hakupata mafanikio makubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic