Kwa upande wa TFF, wamesema
watalifanyia kazi suala hilo na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano
na bodi na siyo kuingilia kazi zao.
Simba wameendelea na
mazoezi yao pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo. Ila si mchezo maana walikuwa
wakipambana vilivyo.
Katika mazoezi hayo
kujiweka fiti kabla ya kuivaa Mgambo Shooting keshokutwa mjini Tanga, Simba
walionyesha wako fiti na nguvu, kasi ilitumika.
Mazoezi yao yalikuwa shoka
utafikiri mechi. Yaani walionyesha wako fiti kama zile enzi za “Yan kibadach,
yan shodan kataa”. Hehe.
0 COMMENTS:
Post a Comment