Hii ndiyo picha bora ya wiki iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjii Tanga wakati Yanga ikiivaa Mgambo Shooting na kuitungua kwa mabao 2-0.
Mwanadada huyo shabiki wa Yanga, akiwa na mwanaye Yanga damu aliyekuwa akiendelea kupata 'chakula' yake na inaonekana wala hakuwa akijua matokeo. Hehe!
Dadangu huyu na sijui kama umepata ridhaa yake kumuweka mitandaoni?sijui kama kaona hii?Lazima alipwe kama si kwa ridhaa yake.
ReplyDelete