Bondia Danny Garcia
aliyewahi kumtwanga Amir Khan kwa KO imebainika ana vidole sita vya mguuni.
Bondia huyo raia wa Puerto
Rico hajawahi kuangishwa na kupigwa KO hali inayoelezwa kuwa anasaidiwa na mguu
wake mkubwa wenye vidole sita na ‘balance’ ya kutosha.
SIKU ALIPOMKALISHA KHAN |
Bingwa huyo wa Light
Welterweight anayetambuliwa na WBC na WBA ana rekodi ya kucheza mapambano 29,
hajapigwa hata moja na kati ya hayo 17 ameshinda kwa KO ikiwemo ile
aliyomtwanga Khan.
0 COMMENTS:
Post a Comment