Mshambuliaji wa
Tottenham, Harry Kane ameshinda tuzo ya kijana bora wa mwaka ya PFA.
PFA ni tuzo ya
wachezaji wa kulipwa wa England ambayo hutolewa kila mwaka kwa vipengele
tofauti.
Mshambuliaji huyo hatari wa Spurs ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwapiku kipa David De Gea wa Man United na Raheem Sterling wa Liverpool.
Mshambuliaji huyo hatari wa Spurs ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwapiku kipa David De Gea wa Man United na Raheem Sterling wa Liverpool.
Kane
aliyeifungia Spurs mabao 30 katika michuano yote ameibeba tuzo hiyo kama
ilivyokuwa ikitarajiwa na wengi.
0 COMMENTS:
Post a Comment