Michuano
ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) sasa itaanza Jumamosi Mei 9, 2015 badala ya
Jumamosi Mei 2, 2015 kama ilivyokua imetangazwa awali.
Uamuzi huo umefanyika ili kutoa fursa kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukamilisha maandalizi ya mwisho ikiwemo ukaguzi wa viwanja
0 COMMENTS:
Post a Comment