April 23, 2015


 Real Madrid imesonga hadi nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuwachapa wapinzaniw ake wakubwa wa jiji la Madrid, Atletico de Madrid.



Ushindi ni bao 1-0 tu, mfungaji ni Javier Harnandes maarufu kama Chicharito ambaye amefunga bao lake katika dakika ya 88 na kuwa shujaa.

Mechi ilikuwa tamu ile mbaya, hata hivyo Atletico Madrid watalala na viatu kutokana na ukali wa mashambulizi kutoka kwa Madrid waliokuwa nyumbani Santiago Bernabeu.

Real Madrid (4-3-3): Casillas 6; Carvajal 6, Pepe 6.5, Varane 6, Coentrao 6; Ramos 6.5, Kroos 8, Isco 7; Rodriguez 7, Hernandez 6, Ronaldo 6
Subs not used: Navas, Khedira, Lucas Silva, Arbeloa, Nacho
Booked: Pepe, Arbeloa
Scorers: Hernandez (88)
Manager: Carlo Ancelotti
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak 8; Juanfran 6.5, Miranda 7, Godin 7, Gamez 7; Turan 5, Tiago 6.5, Koke 7, Saul 6 (Gabi 46 6); Griezmann 6.5 (Raul Garcia 65 6), Mandzukic 6
Subs not used: Moya, Siqueira, Jimenez, Torres
Booked: Turan, Raul Garcia, Koke
Sent off: Turan (76)
Manager: Diego Simeone
Referee: Felix Brych (Germany) 8
Man of the match: Kroos














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic