HIVI NDIVYO REAL MADRID WALIVYOPOKEWA NA MASHABIKI WAO WAKIENDA KUIMALIZA ATLETICO MASHABIKI WA REAL MADRID WAKIWAPOKEA WACHEZAJI WAO WAKATI WAKIWASILI KATIKA MAENEO YA UWANJA WA SANTIAGO BERNABEU KWENDA KUPAMBANA NA ATLETICO MADRID. WALISHINDA KWA BAO 1-0 NA KUSONGA NUSU FAINALI. MADRID NDIYO MABINGWA WATETEZI WA KOMBE HILO.
0 COMMENTS:
Post a Comment