April 27, 2015


 

Kiungo wa Yanga, Simon Msuva ameendelea kukomba zawadi kutoka kwa mashabiki wa Yanga baada ya kumpa zawadi nyingine.


Msuva alipewa zawadi hiyo na shabiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo wakati Yanga ilipoitwanga Polisi Moro kwa mabao 4-1 na kutawazwa kuwa bingwa.

Msuva alifunga bao moja kati ya hayo manne na kufikisha mabao 17 akiendelea kuongoza katika listi ya wafungaji bora.

Hivi karibuni, Msuva alipewa zawadi na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga ambaye alimpa mchele wakati Yanga ilipoitwanga Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic