Vijana wa Chelsea wameendelea kulitetea taji lao
la ubingwa FA kwa upande wa vijana kwa kuwachapa Man City kwa mabao 2-1.
Ushindi huo umewafanya walibebe kombe hilo kwa
mara nyingine kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2.
Vijana hao walibeba kombe hilo mbele ya mmiliki
wa klabu hiyo, Roman Abramovich aliyekuwa uwanjani kuwashuhudia.
Tayari hiyo inaonekana ni kama baraka au dalili
njema kwa wakubwa wao wa Chelsea ambao wamebakiza pointi tatu tu kubeba ubingwa
wa England.
Chelsea: Collins; Aina, Tomori, Clarke-Salter, Dasilva; Colkett (c),
Musonda (Ali 84 mins), Boga (Palmer 73); Abraham (Sammut 68), Solanke, Brown.
Subs not used: Thompson, Grant.
Goals: Brown 20, Abraham 46
Booked: Brown
Manchester City: Haug, Maffeo, Adarabioyo (c), Humphreys,
Angelino, Bryan, Wood (Garcia 68), Nemane, Celina, Iheanacho (Buckley 71),
Barker
Subs: Albinson, Tattum, Dilrosun
Goal: Iheanacho 6
Attendance: 10,961
0 COMMENTS:
Post a Comment