May 14, 2015

 Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini, wamejitokeza kwa wingi kuipokea timu ya taifa, Taifa Stars ambayo imewasili nchini humo.

Stars imetua Johannesburg, Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya Kombe la Cosafa na Watanzania hao walifika hadi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo kuipokea timu hiyo.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic