Aliyekuwa Meneja wa Azam FC, Jemedari Said Kazumari
ameula katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Jemedari Said sasa anakuwa Ofisa Maendeleo wa
TFF na atafanya zaidi kazi katika masuala ya vijana.
Mchezaji huyo wa zamani wa Kariakoo ya Lindi
ametua TFF baada ya mkataba wake kwisha.
Msemaji wa TFF, Baraka Kizuguto, amethibitisha
kuhusiana na Jemedari zaidi kujiunga na TFF.
0 COMMENTS:
Post a Comment