Mshambuliaji mpya wa Man United, Memphis Depay aliyejiunga
na klabu hiyo kwa dau la pauni milioni 25 kwa mara ya kwanza amekanyaga ardhi
ya England ikiwa ni mara ya kwanza tokea ajiunge na timu hiyo.
Kwa kutummia ndege ya kukodi Depay aliyetokea
PSV ametua jijini London lakini kwa shughuli ya uzinduzi wa viatu vya kampuni
ya Under Armour inayomdhamini.
Mshambuliaji huyo ametupia mtandaoni picha hizo
akijivunia mambo yalivyokwenda wakati wa uzinduzi huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment