Cristiano
Ronaldo amepiga hat trick wakati Real Madrid ikiitwanga Espanyol kwa mabao 4-1
katika mechi ya La Liga.
Ingawa ushindi
huo haujaiwezesha Real Madrid kuizuia Barcelona kuchukua ubingwa wa La Liga
lakini Ronaldo sasa anashika nafasi ya pili kwa wapachikaji mabao wa Real Madrid
kwa kipindi chote.
1. Raul
323 (741 mechi)
2. Cristiano
Ronaldo 310 (299)
3. Alfredo di
Stefano 307 (396)
4. Carlos
Santillana 290 (645)
5. Ferenc
Puskas 242 (262)
0 COMMENTS:
Post a Comment